Monday, July 5, 2021

TUNDULISU TUNATAKA KATIBA MPYA


 ALiye kuwa mgombea wa urais nchini tanzania tundu lisu akizungumza leo ameeleza tunahitaji katiba mpya pia tunahitaji rais samia akutane na wapinzani kwa ajili ya maendeleo ya nchi ya tanzania unaweza kufatilia live kupitia youtube

mchaolive

1 comment:

  1. jamani muacheni Rais wetu ailudishe nchi kwenye hali yake swala la katiba si jambo dogo sawa na kubomaoa nyumba unayo kaa ,unapo fanya mabadiliko ya katiba lazima nchi iwe vizuri.mbona mh Rais ameanza vizuri, na vitu vinaonekana,Pia CDM ebu kaeni na Mdude asipende kulazimisha kukosana kauli si nzuri na anaiweka CDM ionekane ni chama cha kiuni

    ReplyDelete