Saturday, September 10, 2022

NAFASI ZA KAZI KIGAMBONI INDUSTRY


 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

KIGAMBONI INDUSTRY

Iliyopo kigamboni Jijijni Dar es salam Inatangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote 

Sifa za muombaji wa nafasi za kazi

1, Unatakiwa uwe unajua kusoma na kuandika

2, Kitambulisho cha NIDA au barua ya mjumbe


NAFASI ZA KAZI

1, Wabeba mzigo

2, castem cure

3, Walinzi

4, Mashine Control 

5, Wapishi

Pia wafanyakazi watalala hapo na watapata chakura hapo hapo kiwandani kwa watakao taka kukaa hapo kwa mawasiliano zaid tuma maombi yako

Infor@kigamboniindusty.com 

ASANTE NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment