Monday, July 5, 2021

TANGAZO LA KAZI KIWANDA CHA AZANI GROUP


 Habari wapendwa ambao mnatufatilia live kupitia yotube na blog yetu leo tunatangazo kutoka AZAN GROUP Wametangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote popote walipo wanahitaji wafanyakazi 200 hili ni ongezeko la wafanyakazi katika kiwanda hicho ambacho huzalisha bidhaa mbalimbali hapa nchin tanzani watu ambao wanahitajika ni

1. wabeba mizigo

2. wapishi , katika kiwanda hicho ambao watakuwa wakiwapikia wafanya kazi katika kiwanda hicho

3. manger

4. mashine control

5. walinzi

6. madeleva 

kwa maelezo zaidi piga sim nammba +255222270588

wahi mapema maana nafasi ni chache pia kama unamaaoni comment tutakusaidia kama unatangazo lako tafadhali wasiliana nasi kupitia facebook na youtube channel yetu


TUNDULISU TUNATAKA KATIBA MPYA


 ALiye kuwa mgombea wa urais nchini tanzania tundu lisu akizungumza leo ameeleza tunahitaji katiba mpya pia tunahitaji rais samia akutane na wapinzani kwa ajili ya maendeleo ya nchi ya tanzania unaweza kufatilia live kupitia youtube

mchaolive

Saturday, June 5, 2021

Tangazo la kazi

 Habari wapendwa kiwanda cha cha maji ya Afya kinawatangazia Nafasi za kazi

Monday, October 12, 2020

Kocha mpya wa yanga sc

Kocha mpya wa yanga atuwa dare es salaam




Kocha mpya wa yanga atuwa dare es salaam
Tazama mapokezi take
https://youtu.be/Tn_42hn0B6U

Thursday, June 7, 2018

ANadawa Kiasi cha Tsh ,Laki Tatu

Bwana Khamis maige wa Gezaulole kigamboni, tuliwekeana mkataba wa hela shilingi Laki mibili,  kuanzia 7/4/2018 , mpaka mwezi  7/06/2018  ltakuwa imeongezeka na kwa Laki Tatu
Namba yake ya SIM ni 0714679466

Sunday, June 3, 2018

SALASALA. FC

Hii ni timu Ambayo napatikana Nyarutembo, hapo Jana imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuwafunga KANYINDO. FC jumula ya mabao 2-0  na kutinga fainali

BARACKA MGANGA MWANAMICHEZO